HaMaD
Saturday, October 6, 2012
ROZAY ATUA BONGOLAND
Apa akipanda ndiga tayari kwa kwenda kupumzika
apa akiwapa salut mashabik wake baada ya kuwasili
Huyu ni Rozay fake ambae alikuja kuwa zingua mashabiki
Hapa akishka kwenye gari kuelekea hotelini
Yule mwanamusik wa OBAMALAND anaekwenda kwa jina la RICK ROSS ametua jana kwenye jiji la maraha kwa ajili ya kufanya show kwenye tamasha la fiesta 2012
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Comments (Atom)