Tuesday, July 31, 2012
DIMPOZY NAE KUVUTA NDINGA.
The bongo flava artist Ommy Dimpozy nae hivi karibuni amevuta gari aina ya Rav 4 new model yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni ishirini saba 27 hii ni baada ya rafiki yake kipenz Diamond kununua gari aina ya Toyota Prado ya mil.60.
DIAMOND ALAZWA......
Msanii wa bongo flava Nasib Abdul a.k.a Diamond amelazwa hospitali baada ya kuugua ghafla marelia na kifua kubana katika hospital moja jina tunalo tunakutakia upone salama amin.
Monday, July 23, 2012
UKIACHA MUZIKI DIAMOND.............!!!!!!!!?
Subscribe to:
Comments (Atom)









