Powered By Blogger

Wednesday, May 30, 2012

Monday, May 21, 2012

HEY VIEWERS

HEY WA2 WANGU WA BLOG YENU MUIPENDAYO SORRY NILIKUWA KIMYA KWA MDA MFUPI COZ NLIKUWA KUNA MAMBO FLAN NAMALIZIA XEMA TUTAKUWA WOTE KUANZIA MIDA HII COZ KILE KILICHOKUWA KINANIKIP BIZE NIMESHA MALIZA SO STY TUNE TUTAENDELEA KUBLOGIKA THANKS all pipooooooooooo.


Wednesday, May 9, 2012

SERIKALI MPO

JAMANIII ANAFIKA HUYU

USALAMA UPO

BASI LAWAKA MOTO

basi la Muro likiungua

Likiwa bado moto haujakolea vizuri

Basi la MURO likiendelea kuungua

wanakijiji wakiliangalia bsi likiteketea kwa moto
Basi la MURO ENVESTMENT lenye namba za usajili T820 BEY liliungua moto basi  hilo lilikuwa linatokea Mwanza kwenda DAR ES SALAAM liliungua moto mpaka chanzo cha habari kinatoka haikufahamika kuwa moto umesababishwa na nini.

Monday, May 7, 2012

LULU KIZIMBANI TENA

Lulu akitoka mahakamani

Camera zikiendelea kumfuata LULU

K
LULU{Picha na Global publishers}
Hatimae Lulu leo amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuhusika na kifo msanii mwenzake Marehermu Steven Kanumba.Katika kesi inayomkabili msanii huyo Wakili anaemtetea Lulu ameiambia mahakama kubadirisha umri wa Lulu kuwa miaka 17 badala ya 18 na kusema kuwa mteja wake bado mdogo.Katika kile cha kushangaza hapo mahakamani ni cheti cha kuzaliwa cha mtuhumiwa {LULU} kimeandikwa jina la Dyana ambalo ni tofauti na jina ambalo limezoeleka la Elizabeth Michael.Kesi imehairishwa tena.

Friday, May 4, 2012



Hii ni ya mzee mzima ROZY

Hapa PLIES anatembelea makalio

Mwana dada shost NICK MINAJ
 
KIM K

THE man himself 50 CENT

JIGGA

Dogo JUSTIN BEIBER

Crank boy SOUJA BOY

T.I

ROLLS ROYSE ya T Pain

wiz khalifa

AKON
HII NI BAADHI YA MIKOKO WANAYOSUKUMA CELEBRITIES WA MBLE
HEY PEOPLE XORY KWA KUWA KWA CKU MBILI TATU NLIKUWA KUNA VITU NAREKEBISHA LAKINI SASA HIVI MAMBO YATAKUWA VIZURI LOVE U ALL

Thursday, May 3, 2012

MASTAA WALIOINGIA BIG BRITHER

Roki kutoka Zimbabwe

PREZZO KUTOKA KENYA

Mampi ktoka Zambia

Lady may kutoka NAMIBIA

Goldie kutoka NIGERIA

DKB KUTOKA GHANA


Wednesday, May 2, 2012

DIAMOND

Huyuu jamaa anaitwa NASIBU ABDUL a.k.a DIAMOND ndio kijana alieshika soko la mziki la tanzania naweza kusema coz hivyo kwa sababu kwanza amechukua tuzo nyingi kwa mwaka huu na ameweza kuteka ulimwengu wa Burudani and naweza kumalizia kwa kusema jamaa mwaka wake hongera.

Tuesday, May 1, 2012

WELCOME PIPO

KARIBUNI SANA WATU WANGU MNAOPENDA MAMBO YA BLOG HII NI favorite KWENU KWAN MTAENJOY MANY THINGS KARIBUNI SANA