Powered By Blogger

Saturday, October 6, 2012

ROZAY ATUA BONGOLAND

Apa akipanda ndiga tayari kwa kwenda kupumzika 

apa akiwapa salut mashabik wake baada ya kuwasili

Huyu ni Rozay fake ambae alikuja kuwa zingua mashabiki 


Hapa akishka kwenye gari kuelekea hotelini
Yule mwanamusik wa OBAMALAND anaekwenda kwa jina la RICK ROSS ametua jana kwenye jiji la maraha kwa ajili ya kufanya show kwenye tamasha la fiesta 2012

Monday, September 3, 2012

SHAROMILIONARE AACHA KUPANDA DALADALA


Sharo milionarehivi karibuni alistaaf kupanda daladala kwa kujitutumua na kupaki barazani Ndinga ya milioni 15 aina ya OPA

DIAMOND AKIWA MAREKANI



Diamond na dancers

Wakipata menu


Akirekebisha mwili


Thursday, August 23, 2012

OMMY DIMPOZY AKISHOOT VEDEO YA BAADAE

OMMY akipigwa make up

Gari aliosema kwamba Bongo haipo

Akiwa na vedeo queen

The director himself Adam Juma


Meneja wa Ommy Mubba akiwa na model


Mwanamuziki anekuja juu katika Bongo flava Ommy Dimpozy aliekwenda South Afrika kwa ajili ya kushoot vedei ya nyimbo ya baaadaena hizo ni baadhi ya vipande vya hiyo vedeo akiwa S.afrika.Picha zote kutoka Millard Ayo.

Monday, August 20, 2012

HAPPY BIRTHDAY TO ME

HEY WATS UP MA PEOPLEEEE NAJUA MMEMIC SANA POST KUTOKA HAPA ILA LEO NIMEKUJA HAPA NNA FURAHA SANA COZ N SIKU YANG YA KUZALIWA  NATIMIZA MIAKA FULANI MINGI KIAS NOMWEKULA CHUMVI SANA KWA HIYO CNA BUDI KUWAALIKA WATU WOTE WENYE MAPENZ NAMI KUNITUMIA ZAWAD KAMA VILE GARI,SIMU,VOCHA NA VITU VINGINE VINGI AHSANTENI XANA.

Tuesday, July 31, 2012

DIMPOZY NAE KUVUTA NDINGA.

The bongo flava artist Ommy Dimpozy nae hivi karibuni amevuta gari aina ya Rav 4 new model yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni ishirini saba 27 hii ni baada ya rafiki yake kipenz Diamond kununua gari aina ya Toyota Prado ya mil.60.

DIAMOND ALAZWA......

Msanii wa bongo flava Nasib Abdul a.k.a Diamond amelazwa hospitali baada ya kuugua ghafla marelia na kifua kubana katika hospital moja  jina tunalo tunakutakia upone salama amin.

Monday, July 23, 2012

UKIACHA MUZIKI DIAMOND.............!!!!!!!!?







Ukiacha kipaji alichonacho bwana mdogo Almas kipaji kingine nilicholiona kwake ni kuwa model coz jamaa ukiangalia baadhi ya picha hapo utagundua kuwa nnachosema ni kweli jamaa anafaa kuwa mwanamitindo hapo kwengine nawaachia akina MUSTAFA HASSANALI .

Tuesday, June 19, 2012

Tuesday, June 12, 2012

PaNdE Za MaIsHa CLUB



CYRILL akiwa na BI Kidude

Meneja wa Ommy Dimpoz Mubba akiwa na shemeji

Nyandu,Yuong D,Adam mchomvu

Nyandu akiwa na masela

Mr.Apertaity akiwa na totoz

Bi CHEKA akiiwa na BI KIDUDE

Mabeste AKIWA KWA STEJ

Mabeste

Gadna wa Jide akimtunza Bi Kidude

Bi Kidude


Mashabiki wakijaribu kuchukua ushahidi

Bi Cheka akiwa na Bi Kidude kwa stej

Bibi Cheka na MH.Temba


MAKOMANDO

CYRILL

WAKACHA

NYANDU TOOOZ

YoungD akipagawisha mashabiki