Powered By Blogger

Thursday, August 23, 2012

OMMY DIMPOZY AKISHOOT VEDEO YA BAADAE

OMMY akipigwa make up

Gari aliosema kwamba Bongo haipo

Akiwa na vedeo queen

The director himself Adam Juma


Meneja wa Ommy Mubba akiwa na model


Mwanamuziki anekuja juu katika Bongo flava Ommy Dimpozy aliekwenda South Afrika kwa ajili ya kushoot vedei ya nyimbo ya baaadaena hizo ni baadhi ya vipande vya hiyo vedeo akiwa S.afrika.Picha zote kutoka Millard Ayo.

Monday, August 20, 2012

HAPPY BIRTHDAY TO ME

HEY WATS UP MA PEOPLEEEE NAJUA MMEMIC SANA POST KUTOKA HAPA ILA LEO NIMEKUJA HAPA NNA FURAHA SANA COZ N SIKU YANG YA KUZALIWA  NATIMIZA MIAKA FULANI MINGI KIAS NOMWEKULA CHUMVI SANA KWA HIYO CNA BUDI KUWAALIKA WATU WOTE WENYE MAPENZ NAMI KUNITUMIA ZAWAD KAMA VILE GARI,SIMU,VOCHA NA VITU VINGINE VINGI AHSANTENI XANA.