Powered By Blogger

Tuesday, July 31, 2012

DIAMOND ALAZWA......

Msanii wa bongo flava Nasib Abdul a.k.a Diamond amelazwa hospitali baada ya kuugua ghafla marelia na kifua kubana katika hospital moja  jina tunalo tunakutakia upone salama amin.

No comments:

Post a Comment