Powered By Blogger

Thursday, August 23, 2012

OMMY DIMPOZY AKISHOOT VEDEO YA BAADAE

OMMY akipigwa make up

Gari aliosema kwamba Bongo haipo

Akiwa na vedeo queen

The director himself Adam Juma


Meneja wa Ommy Mubba akiwa na model


Mwanamuziki anekuja juu katika Bongo flava Ommy Dimpozy aliekwenda South Afrika kwa ajili ya kushoot vedei ya nyimbo ya baaadaena hizo ni baadhi ya vipande vya hiyo vedeo akiwa S.afrika.Picha zote kutoka Millard Ayo.

No comments:

Post a Comment