 |
| Lulu akitoka mahakamani |
 |
| Camera zikiendelea kumfuata LULU |
K |
| LULU{Picha na Global publishers} |
Hatimae Lulu leo amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuhusika na kifo msanii mwenzake Marehermu Steven Kanumba.Katika kesi inayomkabili msanii huyo Wakili anaemtetea Lulu ameiambia mahakama kubadirisha umri wa Lulu kuwa miaka 17 badala ya 18 na kusema kuwa mteja wake bado mdogo.Katika kile cha kushangaza hapo mahakamani ni cheti cha kuzaliwa cha mtuhumiwa {
LULU} kimeandikwa jina la Dyana ambalo ni tofauti na jina ambalo limezoeleka la Elizabeth Michael.Kesi imehairishwa tena.
No comments:
Post a Comment